Pages

Wednesday, April 30, 2014

MHANDISI WA KICHINA AJINYONGA BAADA YA KUBORONGA UJENZI WA DARAJA MKOANI MOROGORO


Raia mmoja wa China ambaye ni mhandisi katika Kampuni ya Ujenzi ya China Railway Bureu 15 Group inayojenga Daraja la Mto Kilombero, Qin Bao Feng amekufa kwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kuboronga katika kazi.
Ilielezwa kuwa Feng aliamua kujinyonga baada ya nguzo za daraja alilokuwa akilisimamia katika ujenzi huo, kusombwa na maji, jambo ambalo aliona kuwa limemvurugia kazi yake.

No comments:

Post a Comment