Pages

Tuesday, April 29, 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA UONGOZI WA BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA IKULU LEO



uu1
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya kalenda kutoka kwa Msajili wa Baraza la Uuuguzi na Ukunga Tanzania Mama Lena Mfalila wakati alipokutana na uongozi wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 29, 2014. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S. Rashid.
 uu2
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania alipokutana nao  Ikulu jijini Dar es salaam leo April 29, 2014. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S. Rashid

 

No comments:

Post a Comment