Msanii Diamond platnumz amepost kwenye instagram maneno yanayotafsiliwa kuwa ni madongo kwa msanii mwenzake Wa bongo fleva Ali kiba,wasanii hao inasemekana wapo kwenye bonge la bifu,kauli ya Diamond imekuja baada ya Ali kiba kuhojiwa na sporah show na kudahi kuwa hana mawasiliano vizuri na msanii mwenzake Diamond,hiki ndicho alichokipost Diamond Platnum kwenye instagram usiku wa kuamkia leo,
"Tatizo lako wewe unawaza kushindana na mimi ili nishuke... Wakati mwenzako nawaza kushindana na watu wa mataifa Mengine ili nilete Sifa na Heshima Nchini kwetu...."

No comments:
Post a Comment