Habari zimethibitisha kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka chuo cha udaktari IMTU kilichopo Mbezi baada ya wanafunzi kumaliza kutumia kwa mazoezi. Viungo hivi vilitupwa baada ya kukosa pesa za kuteketeza kwenye tanuri maalum.

No comments:
Post a Comment