Pages

Tuesday, July 22, 2014

PICHA ZA MIFUKO YA PLASTIKI YENYE VIUNGO VYA BINADAMU ILIYOKUWA IMEPAKIWA KWENYE GARI MAENEO YA BUNJU

Hili ndilo gari lililokuwa limebebeba vifuko ya plastiki ambayo inasadikiwa imejaa viungo vya binadamu, gari hilo lilikamatwa maeneo ya bunju wilayani kinondoni likiwa na shehena ya mifuko ya plastiki ikiwa na viungo vya binadamu.

Kichwa cha binadamu nacho kilikutwa kwenye mifuko ya plastiki iliyokuwa imepakiwa kwenye gari hilo.

Mguu wa binadamu.

Mguu na viungo vyengine vya binadamu.

Mifuko ya plastiki ikiwa ndani ina hivyo viungo vya binadamu.

No comments:

Post a Comment