Pages

Tuesday, July 22, 2014

WATU NANE WASHIKILIWA NA POLISI KUHUSIANA NA MZIGO WENYE VIUNGO VYA BINADAMU

Kamanda wWa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitoa taarifa ya tukio la kukutwa kwa viungo vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo ya Bonde la Mbweni,Mpiji. ambapo watu nane wanahojiwa kuhusiana na tukio hilo wakiwemo na madaktari.

Waandishi wa habari wàkimsikiliza kamanda Suleiman kova

No comments:

Post a Comment