Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi
(kulia), akikabidhi vitabu vya masomo ya sayansi vyenye thamani ya
shilingi milioni 4.5/-, kupitia Mradi wa ‘Airtel Shule Yetu’ kwa
Mwakilishi wa Afisa Elimu ya Sekondari Manispaa ya Temeke, Yasintha
Kayoza kwa niaba ya shule tatu za sekondari za Mbagala, Mvuti na
Kambangwa katika hafla iliyofanyika kwenye Shule ya Sekondari ya
Mbagala jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa Shule ya
Sekondari ya Mbagala, Mwalimu Marcelina Kimario.


No comments:
Post a Comment