
Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa wamegongana uso kwa uso maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu.haijafahamika ni abiria wangapi wamedhulika kwenye ajali hii.Chanzo cha ajali pia bado hakijafahamika na Globu ya Jamii inaendelea na juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa taarifa zaidi.hivyo tuendelee kuvuta subira.
Chanzo: VIJIMAMBO
Chanzo: VIJIMAMBO
No comments:
Post a Comment