Pages

Saturday, September 13, 2014

MIZENGO PINDA AWASILI MKOANI TANGA KIKAZl

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga  cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Chiku Gwao.

No comments:

Post a Comment