Pages

Friday, October 31, 2014

BASI LA SIMBA MTOTO LAGONGANA NA LORI USO KWA USO DALAJA LA MTO WAMI LEO

 
Basi la Simba mtoto linalofanya safari zake za Dar es salaam na Tanga leo limegongana uso kwa uso na lori katika dalaja la mto wami mkoani pwani, ambapo dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na watu wengine kujeruhiwa.

Picha ya lori hilo ambapo watu wakijaribu kumtoa dereva wa lori aliyepoteza maisha kwa kubanwa na magari hayo wakati wa ajali.

No comments:

Post a Comment