Pages

Saturday, October 4, 2014

HALIMA MDEE AKAMATWA


Jeshi la polisi kanda maalum ya Dsm limetumia maji ya kuwasha kuwatawanya wafuasi wa Chadema waliokuwa wakiandamana kuelekea Ikulu jijini Dsm.
Pia limemkamata Mwenyekiti wa Baraza la WanawakeTaifa - Chadema Halima Mdee.

No comments:

Post a Comment