Pages

Tuesday, October 21, 2014

MSANII YP AFARIKI DUNIA

REST IN PEACE YP …KUZIKWA KESHO DAR
 Marehemu YP enzi za uhai wake
USIKU wa kuamkia leo, tasnia ya muziki wa bongo fleva ipata pigo baada ya msanii Yesaya Ambekile maarufu kama YP wa kundi la TMK Wanaume Family kufariki dunia.
YP (pichani juu) amekumbwa na mauti katika hospitali ya Temeke alipokuwa amelazwa kwa maradhi ya kifua kikuu.
Miongoni mwa kazi za mwisho mwisho za YP ambazo alifanya vitu vya akili sana ni kupitia nyimbo kama “Kichwa Kinauma” na “Dar mpaka Moro” za TKM Wanaume Family.

No comments:

Post a Comment