Staa wa muziki wa Bongo fleva tangu kitambo Hamisi Mwinjuma aka Mwana FA amefunguka kuwa kati ya wasanii anaowakubali hapa Bongo ni pamoja na Alikiba akipiga story na chanzo makini cha habari mwana FA anaye bamba na ngoma ya ‘Kiboko yangu’ aliyo mshirikisha Ali Kiba aliseama kuwa
Ujue Ali Kiba ana sauti ile ambayo huwa naitaka ndio maana ngoma yangu hii mpya ‘Kiboko yangu’ kaitendea haki siku zote katika nyimbo zangu huwa sijali msanii anajina kiasi gani bali huwa naangalia uwezo alionao na mfano mkubwa nimeuonesha kwenye wimbo wa Mfalme nilio mshirikisha G Nako.

No comments:
Post a Comment