Msanii
wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akitumbuiza jukwaani
pamoja na mcheza shoo wake mbele ya mashabiki wa tamasha la Fiesta 2014
lililofanyika ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Dodoma usiku wa kumkia
leo.
Pichani
ni kulia ni Msanii wa bongofleva AbdulKiba akiimba sambamba na kaka
yake Alli Kiba ambaye amekuwa akifanya vyema katika anga ya muziki wa
kizazi kipya kupitia nyimbo zake mbili alizoziachai hivi
karibuni,ikiwemo MwanaDaisalama na Kimasomaso,
Mkali
mwingine wa muziki wa hip hop nchini Tanzania,Fid Q akiwashushia mistari
wakazi wa mji wa Dodoma waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la
Fiesta 2014,ndani ya uwanja wa Jamhuri usiku wa kumkia leo.
Msanii
wa bongofleva kutoka kampuni ya No Fake Zone Lina Sanga akiimba wimbo
wake wa Ole Temba ambao umepokelewa vyema na mashabiki wake,ndani ya
tamasha la Fiesta lililofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya uwanja wa
Jamhuri mkoani Dodoma.
Sehemu
ya umati wa watu waliofika kushuhudia tamasha la Fiesta 2014 ndani ya
uwanja wa Jamhuri usiku wa kuamkia leo mkoani Dodoma.








.jpg)
.jpg)
.jpg)










No comments:
Post a Comment