Pages

Tuesday, October 7, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE LEO NI 'BIRTHDAY' YAKE

 
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Rais kikwete leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo anatimiza umri wa miaka 64, Rais kikwete alizaliwa tarehe 7 Oktoba 1950 katika kijiji cha msoga wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
KILENDEMO's BLOG inapenda kumpongeza Mheshimiwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kumtakia kila lakheri katika maisha yake na mungu amjaalie umri mrefu zaidi na pia inamwombea kwa mungu ili aweze kuendelea kuliongoza taifa letu kwa amani na utulivu. 

No comments:

Post a Comment