Pages

Sunday, October 5, 2014

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SWALA YA IDD LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Hajj katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.(Picha na Freddy Maro)


No comments:

Post a Comment