TAZAMA ULINZI ANAOPEWA MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR KWENYE BUNGE LA KATIBA
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman (mwenye Kaunda suti ya kijivu) akisindikizwa kutoka nje ya viwanja vya Bunge Maalum la Katiba jana mjini Dodoma na Askari Polisi mara baada ya kushutumiwa na baadhi ya Wajumbe wa Zanzibar.
No comments:
Post a Comment