Pages

Sunday, August 3, 2014

ASKARI FEKI MWENGINE AKAMATWA

Askari kanzu wa Usalama Barabarani ambae Jina lake halikufahamika haraka akiwa chini ya Ulinzi mkali wa Askari Polisi (hayupo pichani) mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya ni askari wa usalama barabarani huku akifahamu kuwa ni kosa kisheria. Inasemekana Mtuhumiwa aliwahi kuwa askari wa Usalama barabarani ambapo kituo chake cha Kazi kilikuwa Mkoa wa Pwani na ni mmoja kati ya askari waliofukuzwa kazi kwa kuenda kinyume na taratibu na sheria za Jeshi la Polisi Tanzania


Askari kanzu(Mwenye sweta) akiwa amemkamata askari feki wa usalama barabarani

Askari feki aliekamatwa chamazi akiwa chini ya ulinzi.



No comments:

Post a Comment