Pages

Monday, August 4, 2014

ISMAIL ADEN RAGE APATA AJALI MKOANI DODOMA

Mbunge waTabora Mjini (CCM) Ismail Aden Rage, ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, akiwa amelazwa kwenye hospitali ya Rufaa, Dodoma, Jumatatu Agosti 4, 2014. Rage alipata ajali eneo la Chigongwe, nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma, wakati akielekea mjini humo tayari kushiriki vikao vya Bunge Maalum vinavyoanza Jumanne Agosti 5, 2014 



 Mbunge wa skonge,Said mkumba akimwangalia rage alieenda kumwangalia  hospitalini

No comments:

Post a Comment