Pages

Monday, September 8, 2014

AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA GAIRO LEO MCHANA WATU ZAIDI YA WATANO WAHOFIWA KUFARIKI DUNIA



Watu zaidi ya wanne wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya basi la Air Bus lililopinduka eneo la Kiegeya, Gairo mkoani Dodoma mchana huu. Jitihada za kuokoa maisha ya abiria zinaendelea..ni siku tatu tu zimepita toka ajali nyingine mbaya itokee huko Musoma na kupoteza maisha ya zaidi ya Watanzania 35.taarifa kamili inakuja



Basi la Kampuni ya Air Bus likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali.



Miili ya abiria waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.




No comments:

Post a Comment