Pages

Saturday, September 20, 2014

RAIS KIKWETE AHUDHURIA KATIKA HAFLA YA USIKU WA JAKAYA JIJINI WASHINGTON,MAREKANI

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington

Rais Jakaya Kikwete akiongea na Dkt Seche Malecela baada ya kupokea risala ya pongezi kwa uongozi wake nchini Tanzania  katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipokea makombe toka kwa Balozi wa Heshima wa Tanzania huko California Mhe Ahmed Issa kama pongezi kwa uongozi uliotukuka.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipokea zawadi toka Watanzania kutoka Atlanta  kama pongezi kwa uongozi uliotukuka.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipokea zawadi ya ngao na kikombe toka kwa  mwakilishi wa  CCM New York na Vitongoji vyake  Bw. Isaack Kibodya  kama pongezi kwa uongozi uliotukuka Rais Jakaya Kikwete katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington. Kombe hilo ni la pongezi kwa ulezi wake katika michezo na sanaa nchini Tanzania.





No comments:

Post a Comment