Pages

Tuesday, September 23, 2014

USAJILI MAOMBI YA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAANZA MKOA WA MOROGORO.


Changamoto kubwa bado imebaki wananchi wengi kukosa Viambata msingi vya kuwatambulisha kama vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya elimu ya msingi au sekondari n.k jambo ambalo limekuwa likisisitiziwa sana na NIDA katika kurahisisha utambulisho wa mwombaji

No comments:

Post a Comment