Ajali mbaya imetokea ikuhusisha gari dogo aina ya Toyota Hiece linalofanya safari zake kati ya Usa River na Katikati ya mji wa Arusha lilipokuwa likijaribu kulipita gari jingine ndipo likakutana na loli la mafuta na kugongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya abiria wote waliokuwa kwenye gari hilo ambao idadi yake haijafahamika.




No comments:
Post a Comment