Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda kesi dhidi ya aliyekuwa mwanachama wake Zitto Kabwe.
Katika
hukumu hiyo iliyotolewa leo na Jaji Mziray,Mahakama imewaruhusu
CHADEMA kuendelea na taratibu zake za Awali. Aidha, Mahakama imeamuru
Zitto
Kabwe alipe gharama zote za kesi.
Ikumbukwe
kuwa, mwaka jana Zitto Kabwe aliweka pingamizi mahakamani kuzuia kikao
cha Kamati Kuu ya chama hicho kumjadili mpaka pale shauri lake
litakaposikilizwa na Baraza Kuu la Chama hicho.
Credits: Mpekuzi

No comments:
Post a Comment