Pages

Friday, July 25, 2014

RAIS KIKWETE AMUAPISHA JAJI KIONGOZI LEO IKULU

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leo jijini Dar es Salaam.
Rais kikwete akisaini hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha jaji kiongozi wa Tanzania Mhe. shabani Ali lila leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Jaji kiongozi mteule mhe. shabani Lila akitia saini kwenye hati ya kiapo baada ya kuapishwa na Rais kikwete leo ikulu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment