RAIS KIKWETE AWAONGOZA WATANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA LEO
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Dkt. Jakaya kikwete(kushoto) akiwa na mkuu wa majeshi Davis Mwamunyange wakiwasili kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo katika sherehe za kuadhimisha siku ya mashujaa.
No comments:
Post a Comment