Wachezaji wa Manchester City wakishangilia moja ya goli lilifungwa na Dzeko dhidi ya Everton ambapo Man City waliibuka na ushindi wa mabao 3-2 na kuweza kushikilia usukani wa ligi kuu ya uingereza
Edin Dzeko wa Man City akitupia goli nyavuni wakati wa mechi yao dhidi ya Everton leo, Man city walishinda 3-2 na kuweza kukaa juu ya msimamo wa ligi akiwa anaringana points na Liverpool lakini Man city akiwa na idadi kubwa ya magoli ya kushinda.
Ross Barkley wa Everton akishangilia goli lake aliloshinda dhidi ya Man City leo,lakini mwisho wa mchezo Everton walilala kwa magoli 3-2 nyumbani kwake dhidi ya Man City.
Aguero akiugulia maumivu baada ya kuumia
mchezoni na baadae kutoka nje na nafasi yake kuingia Edin Dzeko, Aguero
aliishindia Man City goli la kwanza
No comments:
Post a Comment