Pages

Showing posts with label Diamond Platnumz. Show all posts
Showing posts with label Diamond Platnumz. Show all posts

Wednesday, December 3, 2014

DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI "THE BOSSLADY" WAPIGWA VIJEMBE NCHINI UGANDA


Mdogo wake na Zari Hassan aka The Bosslady, aitwaye Karim ametumia Facebook kumkosoa dada yake kwa kuwa na uhusiano na Diamond Platnumz ambaye anamzidi miaka 9.Kwenye post hiyo, Karim aliandika: You are ashaming us, how can you date a boy my age. You moved from one man to another in less than 3 days.”Akitumia akaunti yake binafsi ya Facebook yenye jina ‘Zarinah Tlale’, kujibu post hiyo ya mdogo wake huyo ambaye hapendezwi na kitendo cha dada yake kuwa na uhusiano na mtu mwenye umri kama wake, Zari alisema si Karim aliyeiandika.

“Diamond is just a friend of mine. It’s never been written that female and male can’t be friends, it’s just the backward people that use that kind of perspective to blow things out of proportion,” aliandika.

zeetalk
10309502_10205619175663672_4957719935074097891_n
Katika hatua nyingine baada ya kumsindikiza Diamond kwenye tuzo za Channel O, Jumamosi iliyopita, Zari alimpa kampani pia kwenye utengenezaji wa video ya wimbo alioshirikishwa na kundi la Nigeria, Bracket.
10174778_10205619176663697_8518468057469568560_n
Chanzo: Uganda Online
SOMA ZAIDI >>> »

Tuesday, December 2, 2014

PICHA MBALIMBALI KWENYE MAPOKEZI YA DIAMOND PLATNUMZ JIJINI DAR ES SALAAM

Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One. 


 












SOMA ZAIDI >>> »

Monday, December 1, 2014

DIAMOND PLATNUMZ NA WEMA SEPETU KUCHUANA KWENYE TUZO MOJA

Haya. baada ya Dimond kunyakuwa tuzo tatu(3) katika Channel O Music Award,sasa anakibarua kingine cha kumkabili mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu kwenye Tuzo za Swahili Fashion Week katika kipengele cha Mercedes Benz Icon of The Year

Ukiacha na na Diamond na Wema,wengine wanao shindania tuzo hiyo ni Mwamvita Makamba,Millen Magese na Mohamed Dewji. Tuzo hizo zinazosimamiwa na kampuni ya 361 Degree zitazolewa siku ya mwisho katika onyesho la Swahili Fashion Week litakalo fanyika Desemba 5 hadi Desemba 7 mwaka huu jinsi ya kupiga kura tembelea Website ya Swahili Fashion Week
SOMA ZAIDI >>> »

Sunday, November 30, 2014

PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI WAKATI DIAMOND PLATNUMZ AKITWAA TUZO TATU ZA CHOAMVA 2014 HUKO AFRIKA YA KUSINI

MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platumz’ ametwaa tuzo tatu za Channel O usiku wa jana nchini Afrika Kusini. Tuzo hizo ni; Most Gifted new comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One!
Hizi ndio tuzo tatu alizoshinda Daimond platnumz 
Bi Sandra nae hakuwa nyuma alikuwa bega kwa bega na mwanawe kwenye tuzo hizo za CHOAMVA 
Diamond Platnumz Mama Nasseb and Zari theboss lady wakiwa na tuzo zote 3
Diamond na Zari wakiwa kwenye red carpet CHOAMVA 14 

Mr president akiwa na ma meneja wake
Diamond Platnumz na mama yake pamoja na Zari wakiomdoka ukumbini baada ya tuzo
Mama Naseeb akiwa na Zari CHOAMVA 14 
Timu nzima ya wasafi ikipeperusha bendera ya Tanzania kwenye tuzo hizo za CHOAMVA 14 
Wakati akipokea moja ya tuzo zake 
Hizo hapo mmeziona 
Rais wa wasafi akifanyiwa mahojiano na Ayo TV
Madaam Rita nae alikuwepo
Mapicha yakiendelea huku mama wa super star akimuangalia mwanawe
Diamond Platinum akifanyiwa interview na host wa red carpet huku akiwa ameshikilia tuzo zake

Platnumz akiwa na mwanamuziki wa Nigeria Emmanyra
SOMA ZAIDI >>> »