Pages

Showing posts with label Ccm. Show all posts
Showing posts with label Ccm. Show all posts

Friday, March 13, 2015

KINANA ATUA JIMBO LA MONDULI AANZA ZIARA MKOANI ARUSHA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kuwasili Monduli tayari kwa ziara ya siku moja jimboni humo.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Mbunge wa Jimbo laMonduli,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kuwasili Monduli tayari kwa ziara ya siku moja jimboni humo.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea salaam kutoka kwa Chipukizi wa CCM wakati wa mapokezi Makuyuni, Monduli Arusha.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi na wananchi wa Monduli.


SOMA ZAIDI >>> »

Sunday, November 16, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Wajumbe wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Novemba 15, 2014 kwa ajili ya kuzungumzia juu ya suala zima la maelekezo ya Halmashauri Kuu ya Taifa kuhusu uchaguzi Serikali za mitaa 2014. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Wajumbe wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wakati akiondoka kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Novemba 15, 2014 baada ya kuzungumza na wajumbe wa CCM juu ya suala zima la maelekezo ya Halmashauri Kuu ya Taifa kuhusu uchaguzi Serikali za mitaa 2014. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, wakati wa mkutano uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kuzungumzia suala zima la maelekezo ya Halmashauri Kuu ya Taifa kuhusu uchaguzi Serikali za mitaa 2014.
Baadhi ya wajumbe wa CCm Mkoa wa Dar es Salaam, wakishangilia wakati Mlezi wa CCM mkoa wao Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokuwa akizungumza nao leo.
SOMA ZAIDI >>> »