Pages

Tuesday, May 20, 2014

WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO WAIFUNGA BARABARA YA KARUME KWA MUDA WA TAKRIBANI MASAA MATATU


 Kundi la walemavu,wafanyabiashara ndogondogo wamefunga barabara ya karume kwa muda wa masaa matatu wakishinikiza Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara zao baada ya kuwaondoa mtaa wa Kongo Kariakoo Dar es salaam,  walipokuwa wakifanya biashara hapo awali.


 Askali wa jeshi la polisi wakiwa eneo la tukio  lililodumu kwa muda wa masaa matatu na kusababisha msongamano mkuwa wa magari.


 Baadhi ya walemavu wakiwa wamekaa katikati ya barabara kushinikiza madai yao.....


 Msongamano wa magari uliosababishwa na mgomo huo wa wafanyabiashara ndogondogo hao na walemavu.



 Muuza maji akiendelea na biashara yake pande hizo....


Walemavu wakiwa pande hizo...


Wakijadiliana jambo


 Hatoki mtu hadi kieleweke hapa Walemavu wakiwa katika maandamano eneo la Karume jijini Dar kushinikiza kupatiwa eneo la biashara. Maandamano yakiwa yamepamba moto.


Hadi kieleweke....

No comments:

Post a Comment