YAICHAPA ATLETICO MADRID 4-1
Golikipa wa Real Madrid, Iker
Casillas, (katikati) akinyanyua Kombe la Ligi ya Mabingwa baada ya
mechi ya Fainali na Atletico Madrid iliyochezwa jana usiku kwenye Uwanja
wa Luz huko Lisbon. Katika mchezo huo Real Madrid ilishinda mabao 4-1.
Bale akiwa na bendera ya nchi yake wakati akishangilia ushindi wa Real Madrid.
Mshambuliaji wa Real Madrid, Sergio
Ramos, (katikati) akishangilia na wachezaji wenzake baada ya ushindi wa
mabao 4-1 dhidi ya Atletico Madrid katika fainali ya Ligi ya Mabingwa
uliochezwa jana usiku.
Mshambuliaji
wa Real Madrid, Christiano Ronaldo, (kushoto chini) akilalamika kwa
mwamuzi Bjorn Kuipers, wakati wa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa
dhidi ya Atletico Madrid, uliopigwa jana usiku huko Lisbon. Madrid
ilishinda 4-1 dhidi ya atletico.
Karim Benzema, (kulia) akiwania mpira na Miranda wa Atletico, wakati wa mchezo huo.
No comments:
Post a Comment