Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili
nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa
ajili kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Kijijini kwao
Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo, Aprili 15, 2014 .
:- Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mwanamuziki mkongwe, Kassim Mapili, na baadhi ya waombolezaji
wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, Mabibo jijini
Dar es Salaam, kwa ajili kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea
Kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwafariji wanafamilia wa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, wakati alipofika
nyumbani kwa marehemu, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuaga mwili wa
marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe
kwa maziko, leo. Kulia ni Mjane wa marehemu, Pili Binti Saidi
Kitwana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na wanafamilia wa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, wakati alipofika
nyumbani kwa marehemu, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuaga mwili wa
marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe
kwa maziko, leo. Kulia ni Mjane wa marehemu, Pili Binti Saidi
Kitwana.
Sehemu
ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehu wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa
marehemu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na waombolezaji katika msiba wa Maalim Muhidin Gurumo, wakati
alipofika nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam, leo kwa
ajili ya kuaga kabla ya kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Masaki Wilaya ya
Kisarawe kwa maziko.
Baadhi
ya wasanii wakijumuika na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Gurumo.
Baadhi
ya wasanii wakijumuika na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Gurumo.
Baadhi
ya wasanii wakijumuika na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Gurumo.
Baadhi
ya wasanii wakijumuika na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Gurumo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na waombolezaji wakati akiondoka nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin
Gurumo, baada ya kuaga mwili wa marehemu.
No comments:
Post a Comment