Pages

Wednesday, April 16, 2014

MELI YAZAMA KOREA KUSINI, ZAIDI YA WATU 4 WAFA NA ZAIDI YA 290 HAWAJULIKANI WALIPO



kikosi cha maafisa wa uokoaji cha korea kusini kikijaribu kuwaokoa abiria toka kwenye kivuko cha sewol kusini mwa pwani ya seoul,korea kusini,kilichokuwa kimezama, kivuko hiko kinasadikiwa kilikuwa na watu zaidi ya 450 kati ya hao 325 ni wanafunzi wa elimu ya juu.
 

 Abiria aliyekuwa ameokolewa toka kwenye meli hiyo iliyozama pwani ya kusini mwa korea kusini mapema leo akiwa akisaidiwa na maafisa wa uokoaji.

 Meli iliyozama ikionekana imelala zaidi upande mmoja wakati ikiwa inazama.




Abiria waliokuwa kwenye meli baada ya kuokolewa toka kwenye meli hiyo iliyozama.

 
Boti za uvuvi na ndege zikijaribu nazo kufanya shughuli za uokoaji.

1 comment: