VIDEO Queen maarufu Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amekuwa makini na kusafiri kwa tahadhari kubwa baada ya kunusurika kwenye msala wa madawa yaliyodaiwa kuwa ni ya kulevya nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ mwaka jana. Masogange alisema kwa sasa akipewa begi na mtu yeyote lazima alikague kwani hakufanya hivyo alivyokamatwa awali.
“Nimekoma kwa sasa mtu hawezi kunipa begi halafu nikamsaidia bila kulikagua, nasachi mara mbilimbili,” alisema Masogange
No comments:
Post a Comment