Pages

Wednesday, April 16, 2014

PICHA MBALI MBALI MJINI DODOMA KATIKA BUNGE LA KATIBA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na  Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamiii Mhe.Dkt. Seif Rashid(kushoto)na Mbunge wa Bariadi Andrew Chenge Nje ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma   Aprili 14, 2014.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika kikao cha Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma,Aprili 15, 2014. 
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na  Waziri wa Nchi Katika Idara  ya Nishati  na Mabadiliko  ya Tabia Nchi wa Uingereza, Mhe.  Gregory Baker (Minister of State at the Department of Energy and Climate Change), Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 14, 2014.

No comments:

Post a Comment