Pages

Thursday, April 10, 2014

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKABIDHI HUNDI YA RUZUKU KWA WACHIMBAJI WADOGOWADOGO WA MADINI MJINI DODOMA


   
 Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Juma Digalu wa kampuni ya uchimbaji madini ya mwalazi mfano wa hundi ya thamani ya dola za kimarekani elfu hamsini (50,000) akiwa mmoja wa wachimbaji wadogowadogo wa madini waliopatiwa ruzuku na serikali kupitia benki ya TIB, Hafla ya kukabidhiwa hundi hizo ulifanyika katika chuo cha Madini mkoani Dodoma tarehe 9 April, Kushoto katika picha ni waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo, wa pili kulia ni naibu waziri wa nishati na madini,Mh. Stephen Masele na kulia ni mkurugenzi wa TIB , Peter Noni

     Waziri mkuu mh. Mizengo Pinda akiagana na waziri wa Nishati na Madini (katikati) profesa Sospeter Muhongo na Mkurugenzi wa Benki ya TIB (kulia) Bw. Peter Noni, mara baada ya kukabidhi hundi ya ruzuku toka serikalini kwa wachimbaji wadogowadogo  iliyofanyika jana tarehe 9 April 2014 katika Chuo cha Madini cha Mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment