Meneja
Uendesha kitengo cha Airtel Money Asupya Naligingwa akiongea wakati wa
uzinduzi wa ofa itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata LUKU Bonus
kupitia huduma ya Airtel Money.
Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money
· Wateja kupata bonus ya LUKU pale watakaponunua LUKU kupitia huduma ya Airtel money

Dar es Salaam, Mei 5th 2014 Kampuni ya simu
za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha wateja
wake kupata LUKU Bonus kila wakati watakaponunua LUKU kupita huduma
Airtel Money. ofi hii ni mwendelezo wa dhamira ya Airtel katika
kuhakikisha wateja wake wanapata huduma bora nchini.
Akiongea kuhusu ofaa hii Meneja wa kitengo
cha Airtel Money Asupya Naligingwa alisema“ ofa hii imelenga katika
kuwawezesha wateja kutumia huduma ya Airtel Money kununua Luku kwa
urahisi, usalama na haraka zaidi. Wateja wetu watapata LUKU unit s
bonus zao hapohapo pale watakaponunua luku kwa kupitia huduma ya Airtel
Money, Bonus hii wataipata mara nyingi kwa kadri watakavyonunua LUKU
kwa siku. Ofa hii inaendana na ulimwengu wa maisha ya kisasa kwani
inaokoa muda na kurahisha kufanya manunuzi kwa urahisi mahali popote na
wakati wowote.
Natoa wito kwa wale ambao hawajawahi
kutumia huduma hii wafanye sasa“ kwani tuanishi katika ulimwengu ambao
kutunza muda ni muhimu sana.
Nalingigwa aliongeza kwa kusema huduma hii ni kwa wateja wote wa Airtel nchi nzima hakuna haja ya kujiunga au gharama yoyote kutozwa ili kufurahia Bonus kwa manunuzi ya LUKU kupitia huduma ya Airtel Money.
“ili kupata huduma ya Airtel Money mteja anatakiwa kupiga *150*60# na kuunganishawa na orodha ya Airtel Money itakayokuwezesha kufanya miamala mbalimbali ikiwemo kununua LUKU
Airtel Tanzania inatoa huduma ya fedha kwa njia ya huduma ya Airtel Money ambapo imekuwa msaada mkubwa katika maisha ya watanzania. Jitihada za kuwezesha upatikanaji wa huduma za Airtel Money nchini umeendelea kuwa wa mafanikia ambapo Airtel imeweza kuwa na mawakala wa Airtel Monye zaidi ya 35,000 nchin nzima na kuwezesha upatikanaji wa huduma za kifedha na manunuzi ya bidhaa mbalimbali kuwa rahisis na ufanisi zaidi. Huduma hii imekuja kwa wakati muafaka hivyo napenda kuwahamasisha wateja kuendelea kufurahia huduma hii ya Airtel Money”.aliongeza Naligingwa
Huduma ya Airtel Money inawawezesha wateja wake kufanya malipo ya ankra za bidhaa na huduma kama vile . DAWASCO, LUKU, USA visa, DSTV, pamoja na kununua muda wa maongezi, kununua vifurushi vya yatosha , kutuma na kupokea pesa kwa nusu gharama na Bure kupitia vifurushi vya bure pack pamoja na huduma nyingine nyingi.

No comments:
Post a Comment