DIAMOND PLATNUM AZIDI KUONGOZA KURA ZA BET AWARDS 2014
Msanii
Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa
upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa SABA na DAKIKA 51 Usiku wa tarehe 19 May (Usiku wa kuamkia Jumatatu Tarehe 19),
anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 75.79 ya kura zote
akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.02. Tuzo hizo zitatolewa
Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani. Hadi kufikia saa 7 na dakika 51 Usiku wa Tarehe 19 May (Usiku wa kuamkia Jumatatu Tarehe 19) Msimamo Ulikuwa hivi;
No comments:
Post a Comment