Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kuaga kwa
ajili ya kwenda kuanza kazi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania
nchini Sweden, Dora Msechu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo kwa ajili ya kuaga kwa ajili ya kwenda kuanza kazi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana
na Balozi Mteule wa Tanzania nchini
Sweden, Dora Msechu, baada ya mazungumzo wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kuaga kwa ajili ya kwenda kuanza kazi.
No comments:
Post a Comment