Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kashikana mikono na viongozi wa
serikali na wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA)
huku wakiimba wimbo wa wafanyakazi katika kilele cha Siku ya
Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) jana Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa
jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika kilele cha Siku ya
Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) jana Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa
jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono maandamano ya magari
aliyoyapokea katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) jana Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono waandamanaji aliowapokea
katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) jana Mei 1, 2014
katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akiwa mwenye wa furaha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea
waandamanaji katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) jana Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi Bora kutoka idara na taasisi mbalimbali wakimsikiliza Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi
Duniani (MEI MOSI) jana Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment