Pages

Sunday, May 4, 2014

TUZO ZA KTMA ZATOLEWA JANA USIKU,DIAMOND PLATNUM AZOA TUZO SABA NA KUVUNJA REKODI


  Msanii Diamond akipokea moja ya tuzo zake saba alizoshinda jana usiku kwenye tuzo za KTMA 2014

Tena kwa mara nyingine msanii Diamond akikumbatiana na Mpenzi wake Wema sepetu ambaye alikua mtoaji wa tuzo aliyoshinda.

Huyu ndiye Fid Q msanii na mtunzi bora wa Hip Hop 
  Fid Q akiwa na babu tale na mkubwa fella baada ya ushindi.
MwanaFA akiongea kwa niaba ya mtunzi bora wa Hip Hop


                                                       Fid Q akipokea Tuzo yake

 
Msanii Chipukizi- Young Killer

ORODHA YA WASHINDI
1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - Bora Mchawi,Bongo Massive
2. MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA - Young Killer 
3. WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya, Lady Jaydee
4. WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One, Diamond Platnumz
5. WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL - Nishai Chibwa Ft Juru
7.WIMBO BORA WA TAARAB - Wasiwasi wako, Mzee Yusuf
8. KIKUNDI CHA MWAKA CHA TAARAB - Jahazi Modern Taarab
9. MWIMBAJI BORA WA KIKE  TAARAB - Isha Ramadhani
10. MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB - Mzee Yusuf
11. MWIMBAJI BORA WA KIKE, KIZAZI KIPYA - Lady Jaydee
12. MWIMBAJI BORA WA KIUME, KIZAZI KIPYA - Diamond
13. KIKUNDI CHA MWAKA CHA KIZAZI KIPYA - Weusi
14. WIMBO BORA WA RNB - Closer, Vanessa Mdee
15. MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB - Mzee Yusuf
16. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - Christian Bella
17. MTUNZI BORA WA MWAKA KIZAZI KIPYA - Diamond
18. MTUNZI BORA WA MWAKA HIP HOP - Fid Q
19. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA TAARAB - Enrico
20. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA BENDI - Amoroso
 21. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, KIZAZI KIPYA - Man Walter
22. HALL OF FAME, INDIVIDUAL - Hassan BItchuka
23. HALL OF FAME, INSTITUTION - Masoud Masoud
24. VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA - Number One, Diamond
25.WIMBO WA MWAKA - Number One. Diamond
26. MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE WA MUZIKI - Isha Ramadhani
27. MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME WA MUZIKI - Diamond

1 comment: