STAA
wa filamu
Bongo, Wema Isaac Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa
Sexiest Girls akiwabwaga Elizabeth Michael ‘Lulu’, Nelly Kamwelu,
Jacqueline Wolper na Jokate Mwegelo Jana usiku ndani ya Dar Live, picha
hii inamuonesha Wema akiwa ameshika tuzo yake ya ushindi.
No comments:
Post a Comment