Pages

Sunday, June 29, 2014

BASI LA AHIDA'S LAPATA AJALI KIBITI WILAYANI RUFIJI

Basi la Kampuni ya AHIDA"S   lenye namba za usajili T 231 BHC linalofanya safari zake za kila siku Kutoka Dar - Lindi - TunduruLimepata ajali mapema asubuhi ya leo katika eneo la kijiji cha Kinyanya - Kibiti na kudaiwa Kusababisha Vifo zaidi ya watu 3 na majeruhi.



No comments:

Post a Comment