LUIZ Felipe Scolari mambo yamemdodea kabisa baada ya usiku wa kuamkia leo kuchapwa mabao 3-0 na Uholanzi.
Ushindi wa Uholanzi ni zawadi kubwa kwa Louis Van Gaal ambaye ameiongoza kwa mara ya mwisho timu hiyo na sasa anaenda kuungana na klabu yake ya Manchester United.
Van Gaal aliyekuwa na malengo ya ubingwa amefanikiwa kushinda nafasi ya tatu katika michuano ya mwaka huu ya kombe la dunia baada ya kupigwa kwa mikwaju ya penati na Argentina katika mchezo wa nusu fainali
No comments:
Post a Comment