Pages

Saturday, October 25, 2014

NAIBU WAZIRI WA ZAMANI ARUSHIANA RISASI NA MWANAE MKOANI MOROGORO

Naibu Waziri wa zamani wa Afya, Dk. Lucy Nkya.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm mkoa wa Morogoro bw. Jonas Nkya
Naibu Waziri wa zamani wa Afya na mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya, amerushiana risasi za moto na mwanae wa kumzaa, Jonas Nkya ndani ya ofisi zao mkoani Morogoro 

No comments:

Post a Comment