RAIS SHEIN AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU MPYA WA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment