Pages

Tuesday, November 11, 2014

KESI YA CHID BENZ YAAHIRISHWA

Chid Benzi akitoka lango la mahakama ya Kisutu (Picha na Maktaba).

Hakimu mahakama ya Kisutu, Waliarwande Lema ameahirisha kesi ya mwanamuziki, Chid Benz mpaka Des 1, 2014 kwa vile upelelezi haujakamilika.

No comments:

Post a Comment