WAZIRI MKUU AFUNGUA SEMINA YA BARAZA KUU LA UMOJA WA VIJANA WA CCM MJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipofungua semina ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa kwenye ukumbi wa CCM White House mjini Dodoma Novemba 7, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment