Pages

Thursday, April 3, 2014

AJALI MBAYA: DEREVA BODABODA AGONGWA NA GARI, AVUNJIKA MGUU


Dereva bodaboda na pikipiki yake baada ya kugongana na gari.

Wasamaria wema wakimbeba dereva bodaboda kumpeleka kwenye gari.

Gari aina ya Toyota Land Cruiser lililogongana na bodaboda.

Bodaboda ikitolewa eneo la tukio.

                Dereva bodaboda akiwa kwenye gari tayari kupelekwa hospitali kwa matibabu.

DEREVA mmoja wa pikipiki 'bodaboda' yenye namba za usajili T 555 CFE ambaye jina lake halikufahamika mara moja amevunjika mguu baada ya kugongana na gari aina ya Toyota Land Cruiser lenye namba DFP 9597 mkoani Morogoro. Ajali hiyo imetokea barabara ya zamani ya Dar es Salaam jirani na stendi ya daladala katika Manispaa ya Morogoro mapema leo.

No comments:

Post a Comment