Pages

Thursday, April 17, 2014

BALOZI WA RWANDA AAGANA NA RAIS KIKWETE IKULU DAR

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kuzungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Mhe.Ben Rugangazi, aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kuagana na Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.

Rais Kikwete, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Mhe.Ben Rugangazi, aliyemaliza muda, wake wakati alipofika Ikulu jijini Dar jana kwa ajili ya kuaga rasmi.

No comments:

Post a Comment